[Verse 1]
Life ni stressing sikatai
Lakini ni blessing kuwa hai
Ndio maana kila furahi day yunibidi nafurahi
Sa hiisikumi nishaingia klabu
Pesahazitoshei mfuko ziko kwa kikapu
Dame ashawika
Hithere supuu
Haiya hii ni ile klabu ya ajabu
Nahanywa acha nikuonyeshe venye hao hufanywa
Reverse psychology, mwambie kitu haezi fanya
Si unani-like
Na mi naku-like
So tuna likiana
Si una psyche
Na mi nina psyche
So, tunaeza anza ku___
Ashararuka
Ashaanza kucheka
Kiswahili naangusha hata kamba haezi ruka
Kabla hajaamka
Hajaanza kuenda
Nishamwagizia Smirnoff Ice na Sambuca
[Chorus]
Kumbe ni under 18
Sa mi ningejuaje
Kumbe ni under 18
Venye anapewa maji
Kumbe ni under 18
Sijui itakuwaje
Kumbe ni under 18
Nitambiaje jaji
[Verse 2]
Waiter ulete chupa tatu for me myself and I
Juu kawaida mi huwaga pekee yangu
Sinanga wife
Lakini today ni ku-nasty
Nina shorty
Nina manzi
Wale hunikataanga leo wanaskia ouch
Juu huu ana mahaga zina-fit kwa couch
Vizuri sana, yani, ni mzuri sana
Sa nishamwuliza ushamaliza skuli bana
Niko third year University of Nairobi
Kumpandilia itakuwanga hobby
Akaniskiza twende walk in the park
Nikamshika tuna-talk in the dark
Ma-body language aka bubu talk
Hapo Jeevanjee Gardens
Tushastukia ma-cop
Wapi ID msichana, pia wee nyangau
Mi kutoa yangu ye anawika amesahau
[Chorus]
Kumbe ni under 18
Sa mi ningejuaje
Kumbe ni under 18
Venye anapewa maji
Kumbe ni under 18
Sijui itakuwaje
Kumbe ni under 18
Nitambiaje jaji
[Verse 3]
Kabla story sija-tell
Nilijipata kwa cell
Wameacha shorty heaven
Wakanipeleka hell
Eti Kijana mang’aa
Inanunulia mtoto chang’aa
Kumbe ni under 18
Officer aki hakuniambia
Wakanivunja viboko 18
Kisha wakaniachilia
Kufika kwa gate ndio huyu dame amejikunja
Wewe ile vita ntakuvunja
Akaniambia badala ya kumpiga makumbo
Twende home kwao nikampige manyundo
Nikacheka tu
Nikaweka tu
Kwa kitanda hadi saa saba nikafyeka tu
Kuchekelea ili nilale kidogo
Naskia strange unafanya nini na mtoto
[Chorus]
Kumbe ni under 18
Sa mi ningejuaje
Kumbe ni under 18
Venye anapewa maji
Kumbe ni under 18
Sijui itakuwaje
Kumbe ni under 18
Nitambiaje jaji
[Outro]
Hata akuwe msawa aje
Hata akuwe anagawa aje
Under 18 kizee
Tafash jo, tafash
Lakini huwaga na wale wame-stand
Wako hapa ndani ya club
Mikono juu ya hewa ni ka umepewa
Onyesha hawa watu unaelewa
Mikono juu ya hewa hata ka umepewa
Onyesha hawa watu unaelewa
Kumbe ma-under 18
Wanaeza chizisha mdhii jo
Clemo jo
Clemo jo
Hii beat inanibamba
Hii beat inanibamba
I-pump kidogo
I-pump kidogo